muddy hinna
New Member
- Sep 12, 2013
- 1
- 0
Lala ukiomba n tembea ukiomba mungu atakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha na phone namba
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂

habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Wewe unataka mwanaume mwema. Je wewe ni mwema pia?Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Asante kwa mchango wenu, hata mimi nasali. Nimejjijua kwamba ni mke mwema kwa kutumia standard ya biblia