Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Sina mtoto
Ok...bad luck mimi natafuta aliyekwisha zaa angalau mtoto mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mtoto
kama hujui kama utanipenda basi acha mana hata biblia inasema enyi Waume wapendeni wake zenu,
asanteKweli hayo ni maneno ya biblia lakini hujawa mke! Mke mwema hutumia busara kwa kila jambo mbona watumia neno BASI ACHA inaashilia wewe ni mtu wa kudhira kwa vitu vidogo! wewe unanipenda? je uko tiari nikuoe?
Ahaaa ahaa unajua huwezi penda bila kuona ndio maana nikasema sijui kama ntakupenda but sure kama una hizo sifa nilizotaja niprivate?
asante
Au ndio umekwisha mpata mme mwema na shemeji kakomaa tuufunge usije pata mtu mwenye sifa zaidi yake!Asanteni kwa mchango wenu, naombeni tufunge mjadala huu.
Ahaaaa ahaaaa he he he te teh teh kumbe nimekubali tuufunge HIVI nyie midume kama mimi kwanini si wastaarabu mnamprivate mtu mpaka kero kila mtu anataka kupiga mambo tu hapo hamna jipya na nyie kwa kutaamani hata msivyo vioona haya TUUFUNGE!Asanteni kwa mchango wenu, naombeni tufunge mjadala huu.
Asante kwa mawazo yako
Nimekuambia ni maneno yasemwayo huko nje na watu walio kwenye mahusiano na nyumba ndogo. Au ulikuwa haujanielewa?