Nahitaji mume mwema jamani

Nahitaji mume mwema jamani

Ooho mai god sister!! Umepotea njia hum hakuna mume mwema sister.watakutenda na kukuchafua vibaya sana .hum kuna wapenda chup tupu.wakishakuvua chup shughuli inakwisha kabisaaa mutu ya mungu .mume mwema utoka kwa bwana
 
Usikatishwe tamaa na text zingine dada hebu ni PM,tutoke faragha najua kama ipo ipo tu.
 
Duh,hizi post zingine sasa,hivi kweli mume mwema anapatikana JF?wacha habari zako bana, piga magoti chumbani kwako lia na mungu wako atakusikia.

Mungu yupo bize sana kuna watu wanapumulia mashine, wengine wana njaa hawajui wale nn, wengine vilio vya kazi n.k anajaribu kuwajibu kila mmoja kwa wakati wake, kama vipi asubiri, siyo apige goti atarajie kesho
 
Komaa..! kutafuta mume bora lakn huku jf. utaishia kuumia tu..! kikubwa ni kumuomba God atakusaidia kupata mume bora.

mimi mwenyewe nimefanya kama wewe ulivyofanya lakn sikupata chochote cha maana...! kama unataka mume bora mm nipo ila utoe kwanza C.V zako

mail contact ni
daudkipara@live.com
kazi ni kwako
 
Ukiomba hakuna linaloshindikana kwa Mungu aliye hai.......
 
Mungu pekee ndo atakupatia mume bora tu,nakushauri usali tu,mungu atakupatia .

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Eti unataka mme mwema,we mwenyewe chakubanga mjanjamjanja wa maana umtoe wap we endelea na ngalangala lako tu.
 
Back
Top Bottom