mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahaahahaa itakuwa China
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaahahaa itakuwa China
hahaha [emoji28][emoji28]Humu utapata mashetani na ma dragon tupu. Waume wema walikufa kwa bht mbaya
Binti hebu tutake radhi.Humu utapata mashetani na ma dragon tupu. Waume wema walikufa kwa bht mbaya
Huu uzi umeandika kama unakimbizwa, nahisi utakuwa na ugwadu sana ni PM tupange mipango ya kugegedana, Ila elimu ya huu inatolewa wapi hiyo?? alafu Je, kuna kabila linaitwa mchanga??Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu!
Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni.
Niseme kweli kwasisi wanawake kutafuta mume mtandaoni ni rahisi zaidi maana wale tunaonana nao uso kwa uso ni vigumu kuwatongoza kutokana na tamaduni za kiafrika anaetongoza ni mwanaume pekee.
Kwahiyo najua wengine mtanikatisha tamaa lkn jibu langu ni moja hata hapa naweza pata mume , kama ni suala la utapeli upo kila mahali hata kanisani na misikini pia utapeli unaweza kuwepo.
....Baada ya angalizo hilo niende kwenye mada tajwa..
Sifa zangu.
Umri miaka 34
Elimu ya huu
Muajiriwa
Mkristo
Sina mtoto
Msukuma
Sifa za nimtafutaye
Umri miaka 30-45
Elimu yyte
Awe na shughuli yyte
Mkristo
Asiwe na mtoto zaid ya mmoja
Kabila lolote kasoro, mnyakyusa, mhaya, mzaramo, mha na mchanga.
Karibu, vigezo na mashart kuzingatiwa
-
Sina hofu juu ya hilo kilichonichelewesha ni Shule wala si vinginevyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umri unazidi kukuacha alafu hakuna dalili ya mtu kujichanganyaa...
Sent using Jamii Forums mobile app