Ukiwa na akili kidogo huhitaji kuuliza swali kijinga namna hiiMchanga ndio kabila gani...
Anyway... Kila la heri katika utafutaji wako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Woiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lkn siyo lazima huko tu hata hapa panafaa so uniingilie kwenye Uhuru wangu, usikute we mwenyewe ulipo hujaolewa
-
Eti umeolewaWoiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawa, kwa niaba ya kanda ya kaskazini nzima tunawaachia Wasukuma wenye awamu yao waoeHpn Mkuu kila mtu ana Uhuru wa kuchagua anachokipenda
-
Sasa kama ni selective kiasi hicho,unadhani nini kitatokea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umri unazidi kukuacha alafu hakuna dalili ya mtu kujichanganyaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabdi akae nyumbani miaka 3 zaidi hapo ndo hatachagua Mmsai wala mnyaturuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni selective kiasi hicho,unadhani nini kitatokea?
πππ
Badala ya kuangalia upendo,heshima,na kuelewana anabagua,anyway mimi mkurya hajanitaja,namkaribisha sana kwa official applicationItabdi akae nyumbani miaka 3 zaidi hapo ndo hatachagua Mmsai wala mnyaturuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza chakwako kwanza
-
Endelea kujifariji...La mkosaji
-
Umenipata njoo inboxKama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu!
Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni.
Niseme kweli kwasisi wanawake kutafuta mume mtandaoni ni rahisi zaidi maana wale tunaonana nao uso kwa uso ni vigumu kuwatongoza kutokana na tamaduni za kiafrika anaetongoza ni mwanaume pekee.
Kwahiyo najua wengine mtanikatisha tamaa lkn jibu langu ni moja hata hapa naweza pata mume , kama ni suala la utapeli upo kila mahali hata kanisani na misikini pia utapeli unaweza kuwepo.
....Baada ya angalizo hilo niende kwenye mada tajwa..
Sifa zangu.
Umri miaka 34
Elimu ya juu
Muajiriwa
Mkristo
Sina mtoto
Msukuma
Sifa za nimtafutaye
Umri miaka 30-45
Elimu yyte
Awe na shughuli yyte
Mkristo
Asiwe na mtoto zaid ya mmoja
Kabila lolote kasoro, mnyakyusa, mhaya, mzaramo, mha na mchaga.
Karibu, vigezo na mashart kuzingatiwa
-
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu!
Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni.
Niseme kweli kwasisi wanawake kutafuta mume mtandaoni ni rahisi zaidi maana wale tunaonana nao uso kwa uso ni vigumu kuwatongoza kutokana na tamaduni za kiafrika anaetongoza ni mwanaume pekee.
Kwahiyo najua wengine mtanikatisha tamaa lkn jibu langu ni moja hata hapa naweza pata mume , kama ni suala la utapeli upo kila mahali hata kanisani na misikini pia utapeli unaweza kuwepo.
....Baada ya angalizo hilo niende kwenye mada tajwa..
Sifa zangu.
Umri miaka 34
Elimu ya juu
Muajiriwa
Mkristo
Sina mtoto
Msukuma
Sifa za nimtafutaye
Umri miaka 30-45
Elimu yyte
Awe na shughuli yyte
Mkristo
Asiwe na mtoto zaid ya mmoja
Kabila lolote kasoro, mnyakyusa, mhaya, mzaramo, mha na mchaga.
Karibu, vigezo na mashart kuzingatiwa
-