Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
Chai
 
Hata mimi nishaelewa saikolojia yake huyu mwanamke ni mtu wa aina gani.
Anaonekana ni aina fulani ya mtu anajiheshimu na hapendi mambo ya kudanga ndio maana akapata ujasiri wa kuja kujieleza kutafuta mume.
Sema hapo kwenye kudeka dosari ya wanawake wa Sampuri yake ni kwamba huwa wanapenda muda mwingi mkae ndani muwe mnacheza tu,ukienda kazini ananuna,ukipata safari ya kikazi pia atanuna,lakini pia ukikaa nyumbani bila kazi maokoto yakipungua atanuna kwa hiyo atakayemuoa ajiandae kwa hilo.
 
Ungekuja kwa ID ile niliyoizoea ingependeza zaidi...ila naamini utapata Mume umpendae nakutakia mafanikio mema..
 
Dume ilo kuweni makini wana
 
Ungekuja kwa ID ile niliyoizoea ingependeza zaidi...ila naamini utapata Mume umpendae nakutakia mafanikio mema..
Kumbe unamjua!! Nijazie baruti basi mkuu! Tena mwambie kabisa " yule kaka wa watu hanaga shida kabisa" hivyo tu mkuu, halafu mi nikija tu nalipua kiulaini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…