Nahitaji mume serious

Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
maa single mother bhana sijuh wana matatizo gani mwandiko wenyewe umekaa kibabe huko ndani si ndiyo kosa dogo tu umembinya korodani!
 
Baada ya kuhangaika sana kitambaa cheupe, Liquid sasa wanahitaji ndoa vijana kuweni makini sana na hawa wadada
 
Mimi ningekufaa maana ni single dad Ila watoto mama yao alininyang'anya Ila Sasa unielekeze vizuri unaposema uko vizuri kiuchumi unamaanisha nini ?
Mimi mwenzio napenda nikuzudi hela sio wewe unizidi utanitesa sana ,fanya hivi dondoka PM yangu Ila uje na umri wa ukweli na chanzo Cha mapato yako pasina kusahau ,ukweli kuhusu hali ya muundo wako wa mwili hasa nyuma .
Yakheeee
 
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.

Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.

Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu

Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu.
Sina mahusiano na baba mtoto wangu kiufupi maisha yamenipiga viboko sana kwahiyo nilijifunza vingi

Mimi ni mama bora wa familia pia mchapakazi.

Mume ukiwa na mtoto mmoja au wawili itapendeza.

Mume uwe unafanya kazi au biashara.

Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.
Mechi haijaanza tayari 1-0.U can't be serious kwenye kutafuta.
 
Hand writting ya kiume.
 
tiGo uhakika?
 
Kuna jirani yangu ana watoto sita nae namwona huku akipanga vina.
 
Ombi na tarajio lako litimie...
 
Picha itakusaidia kuongeza thamani ebu weka pic yako watu wakuone itakusaidia kupunguza usumbufu
 
Mimi ningekufaa maana ni single dad Ila watoto mama yao alininyang'anya Ila Sasa unielekeze vizuri unaposema uko vizuri kiuchumi unamaanisha nini ?
Mimi mwenzio napenda nikuzudi hela sio wewe unizidi utanitesa sana ,fanya hivi dondoka PM yangu Ila uje na umri wa ukweli na chanzo Cha mapato yako pasina kusahau ,ukweli kuhusu hali ya muundo wako wa mwili hasa nyuma .
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom