Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mbona "upendo wa dhati" naiona upande mmoja tu?
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Nimekuelewa. Mshirikishe Mungu pia ktk hili hitaji pia humu usikupe asilimia nyingi sana. Kanisani kwako ni bora Mara Elfu.
 
Vijana wanafaidi Kweli....loh!!!....

Jamani kama kuna mjane aje tutoane upweke
 
Ukihitaji darasa la nne ya zamani unicheki na kuhusu kabila ujue kuwa Tanzania hatufanyi matambiko kiasi hicho hata Nyerere alikataza maswala ya ukabila.
 
Degree! Duuh ndoa za kisasa hizo! Bila degree hupati mke
 
Una shepu ya kuvutia yani kuanzia back, kiuno, breast n.k
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
You are not serious
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Maprof huwataki?
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
naomba uje PM Kama bado hujapata mume,
 
Back
Top Bottom