Nahitaji Mume

Unavozitaja hzo academic qualifications sasa mmmmhhh,,,, mtachelewa sana.....!!

Nawashauri wa dada point kubwa kwa mnaowataka ni hzo zote ulizozitaja but toeni ya " degree,master, dr, diploma, certificate etc but sisitizen hapo kweny AMAJIAJIRI AU AMEAJIRIWA.

Mana hapo ndipo zipo lala chemichemi za uzima wa maisha yenu.
Elimu ya bongo tunaklemu tu na kufaulu maisha yanaenda ndo mana wengi hatufeli lkn tukija mtaani watu wanakua na maubongo mazito kama uji wa mgonjwa.

Niliomaliza nao chuo miaka kadhaa nyuma...ni saba tu wamepata ajira.wengine wote kama 77 tupo mtaani tena wa hyo degree unayoitaka.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Safi sana nimekupendea vipengele kadhaa hapo kwenye vigezo unavyo vihitaji ila hicho cha elimu kime nibamba zaidi 'Elimu Muhimu sana Mama' ukiona mtu anaponda ujue hana vigezo. Hongera bwana'ko sahihi anakuja madam [emoji3]
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Wewe una elimu gani?
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Ushanipata ondoa hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…