Nahitaji Mume

SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
kWANI kwa sasa unaishi wapi?
 
Kila mtu ana chaguo lake, huyo anayetaka wa kumzalia aje mtaan kwetu tu atapata mzigo wake, ndoa ni kitu cha kuheshimika sio kujaribisha, afu wakristo hawajaribu ndoa, waislam wanatoa talaka wanaoa hadi wa4 ila wakristo ni one mama at a time, respect marriage..wadada wa kuzalisha tu wapo wengi wanapenda kweli kuzaazaa
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mhu...
karne hii bhana
"Mtu anachagua Mume[emoji116]
Sifa azingatie zifuatazo.
Awe professor
Awe na kampuni
Asiwe na mtoto
Asiwe na mama
Asiwe na ndugu wa kike
Awe hajawai kuishi na mwanamke
Awe amefaulu somo la science
Ambae hajawai kupata hasara kwenye biashara.
Asiwe na madeni na awe na akiba benk.
Asiwe anakasirika
Akitembea awe mkakamavu
Awe na sauti nene.
Awe na sheli.
Awe na IPhone 6
Pia na simu ndogo
Asiwe anatumatuma sms
Mtoto wa kwanza kwangu anipe wa kiume
Awe na akili kubwa mno.
Awe anatumia maji ya chupa.
Ambae hajawai kutumia maji ya bomba.
 
Unalingine?
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Hizo sifa awe nazo zote au awe na moja ya hizo sifa?
Kila la heri
 
sisi standard seven hatuwezi pata wenzi wetu humu
 
Omba Mungu upate mume ndani ya hii miaka miwili ya Magufuli iliyobaki.Ukifikisha 30 tu nadhani utapunguza vigezo,kitabaki kigezo kimoja kuwa awe na jinsia ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…