Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Nina vigezo karibia vyote ila nilivyorudi kusoma Elimu ya mhitajiwa ikabidi niwe mpole

Maana darasa la 7 ni mbali mno na degree Dr

siku ukipunguza Elimu utaniambia!
 
Umdhaniaye kumbe siye.
Cha msingi ni kumwomba mungu.
Wish u all the best.
 
ZAA WA KWAKO KAMA KUKU WA KISASA WANAVYOTAGA BILA JOGOO ILI UONE ILIVYO NGUMU KUFANIKISHA KIJANA WA KIUME KUZIPATA QUALITY ZOTE HIZO.Unadhani ni duka???
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Una kilo ngapi? Urefu huo ni futi ngapi na inchi zake?
Una sifa moja kuu ambayo ni adimu kwa wanawake wa kuoa siku hizi, hauna mtoto.
Pia mweusi maana yake hauna taimu na mavipodozi pia walimu wanajitambua sana.
 
Sitaki kuamini muda wote uliosoma hadi kuwa Mwl hukuwahi kupata hata mtu ambaye ulifikiria kuwa atakuwa mmeo.

Sasa JF hii ya Dream liner kweli utapata muoaji au watakuchezea
 
Sitaki kuamini muda wote uliosoma hadi kuwa Mwl hukuwahi kupata hata mtu ambaye ulifikiria kuwa atakuwa mmeo.

Sasa JF hii ya Dream liner kweli utapata muoaji au watakuchezea
JF naweza pata muoaji mtaani naweza pata wakunichezea
 
Back
Top Bottom