Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Kuna sifa ya msingi hujaitaja kwa huyo mwanaume. Hebu cheki again your to do list
 
Kitu kizuri kuhusu jinsia ya me ni kama Mvinyo, unakuwa bora kadri unavyoongeza umri, na kitu kibaya kwa jinsia ya ke ni kama Bamia kadri linavyokomaa ndiyo linakosa thamani!
Kila la heri, mungu atajibu maombi yako! I'm pretty sure when you were 18, you didn't think you'll end up posting this!
 
Sifa zoote unazo ila sasa duuuuh nisijekuitwa mkabila[emoji23]
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mume umepata njoo inbox
 
Onasasa unavyo haribu lugha ya bepari, afadhali ungeandika kwa Kibantu tu mkuu.
Huku kulazimsha ushuzi, unaweza ukajikuta umejinyea..... tehteehhh
Hiyo cyo lugha yangu. Ingekuwa vibaya kama ningekosea kiswahili. Ila hiyo na nyingine wala haina madhara [emoji6]
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mi nina kitambi lakini
 
Back
Top Bottom