n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Jun 17, 2021 #41 Good Father said: Nasubiri ufike 40 utauza kwa bei ya hasara kunusuru mtaji wako. Click to expand... π π π Hasara ikizidi Sana, huwa inakula hata huo mtaji na unaanza upya.
Good Father said: Nasubiri ufike 40 utauza kwa bei ya hasara kunusuru mtaji wako. Click to expand... π π π Hasara ikizidi Sana, huwa inakula hata huo mtaji na unaanza upya.
Lolen 2 Member Joined Jun 12, 2021 Posts 31 Reaction score 24 Jun 17, 2021 #42 Mungu kasikia kiliochako kwa kutimiza htajk LA moyo wako, mume ushapata ila vp kuhusu chura yupo!?
42774277 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 6,833 Reaction score 8,853 Jun 18, 2021 #43 RME said: Sifa zangu Umri: miaka 34-35 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ..... Ajira: Mwajiriwa Urefu: 161cm SIFA ZA MWANAUME Umri: 35-45 Kabila: Lolote Rangi: Yoyote Elimu: Shahada na kuendelea Kazi: Uwe mwajiriwa Dini: Mkristo Usiwe mlevi. Uwe tayari kupima HIV Click to expand... Umri wa miaka 34-35 ndio miaka mingap? Kwa hiyo kama mtu ana shahada ila hajajiriwa na maisha yake yanaenda vizuri hafai? Calm down madame
RME said: Sifa zangu Umri: miaka 34-35 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ..... Ajira: Mwajiriwa Urefu: 161cm SIFA ZA MWANAUME Umri: 35-45 Kabila: Lolote Rangi: Yoyote Elimu: Shahada na kuendelea Kazi: Uwe mwajiriwa Dini: Mkristo Usiwe mlevi. Uwe tayari kupima HIV Click to expand... Umri wa miaka 34-35 ndio miaka mingap? Kwa hiyo kama mtu ana shahada ila hajajiriwa na maisha yake yanaenda vizuri hafai? Calm down madame
JWANY DA KING JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 201 Reaction score 184 Jun 18, 2021 #44 Unamiaka 34 - 35 bado unaweka sharti la mume kwamba lazima aajiriwe serikalini!!!? Inaonesha ulivyokua na 24yrs ulikua na masharti magumu sana ndio yamekufikisha hapo!! Ngoja ufike 40yrs nafikiri uta regulate masharti.
Unamiaka 34 - 35 bado unaweka sharti la mume kwamba lazima aajiriwe serikalini!!!? Inaonesha ulivyokua na 24yrs ulikua na masharti magumu sana ndio yamekufikisha hapo!! Ngoja ufike 40yrs nafikiri uta regulate masharti.