Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma!
Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha asante
Umesahau kuandika umri wako na wapi au mkoa gani unapatikana.
 
Umri... appearance...Ka wowowo kamo?......usije kusema Una GPA harafu ukashindwa kusema kama hips halimo au limo.....tena weka basi na vikachumbari ili biashara yako isidode maana wanaume tutapata curious ya kutamani kukuona.asante
 
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.

Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha

Asante
nipo mamy naitwa peter nipo dar namba zangu 0656000178 tutafutane bas
 
  • Thanks
Reactions: Eco
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.

Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha

Asante

kwa mwamposa ulikosa ! samahani lakini.

au wanaokuita mfano “dada dada naweza kuongea na wewe”
 
.
JamiiForums2049737144.gif
 
Back
Top Bottom