Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Njoo pm
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.

Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha

Asante
 
Kama upo tayari kuwa mke wa tatu nitafute PM
 
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.

Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha

Asante
Unapatatikana wap
 
Kaeni mbali na matapeli. Shauri yenu msije Sema mzee wa bwaksi hakuwaambia
 
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.

Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha

Asante
Dah! Ungetaja basi hicho kiwango chako cha elimu, umri wako, umbo lako na muonekano wako Ili umrahisishie mume wako na pia kuondokana na zile changamoto za kukimbiana stendi, au kuzimiana simu baada tu ya kuonana.

Anyway, nakuombea heri katika safari yako.
 
Back
Top Bottom