Nahitaji mume

Kipenzi humu hamna waume wa kuwoa πŸ˜‚πŸ˜‚
Wamejaa walamba asali
Ni mwendo wa kulambana tu
Mbona mnatusemea sie jamani....kama wewe huna bahati huna wewe tuu usimkatishe tamaa mwenzenu. Alafu humu jf wanwake mbona mwanamke mwenzenu akiwa anatafuta mume mnamkatisha tamaa. Lakini nyie mkifuata pm mnatupiga vibuti
 
Tunamwambia ukweli
 
Ah wee unanikandia live live kabisa alafu wasema fursa kama hizi hutaki zinipite
Sikukandii bwana nasema ukweli.
Wewe ni kutafuna mbususu tu ndoa hutaki, sisemi uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…