Nahitaji mume

Nahitaji mume

Kipenzi humu hamna waume wa kuwoa 😂😂
Wamejaa walamba asali
Ni mwendo wa kulambana tu
Mbona mnatusemea sie jamani....kama wewe huna bahati huna wewe tuu usimkatishe tamaa mwenzenu. Alafu humu jf wanwake mbona mwanamke mwenzenu akiwa anatafuta mume mnamkatisha tamaa. Lakini nyie mkifuata pm mnatupiga vibuti
 
Tunamwambia ukweli
 
Back
Top Bottom