Noah the lastborn Senior Member Joined Dec 26, 2025 Posts 139 Reaction score 182 Mar 1, 2026 #1 Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
Amo1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 1,751 Reaction score 2,879 Mar 1, 2026 #2 Uwe na subcriber kuanzia elf 1 na kuendelea Uwe na watch hours zaidi ya 4000 per year. UKifikisha hivyo vigezo unaenda kujisajili...
Uwe na subcriber kuanzia elf 1 na kuendelea Uwe na watch hours zaidi ya 4000 per year. UKifikisha hivyo vigezo unaenda kujisajili...
JOHNGERVAS JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 1,487 Reaction score 2,599 Mar 1, 2026 #3 Amo1 said: Uwe na subcriber kuanzia elf 1 na kuendelea Uwe na watch hours zaidi ya 4000 per year. UKifikisha hivyo vigezo unaenda kujisajili... Click to expand... hauendi kujisajili unajisajili mwenyewe hapo Youtube kwenye sehemu imendikwa earn unaweka taarifa zote Muhimu zinazohitajika
Amo1 said: Uwe na subcriber kuanzia elf 1 na kuendelea Uwe na watch hours zaidi ya 4000 per year. UKifikisha hivyo vigezo unaenda kujisajili... Click to expand... hauendi kujisajili unajisajili mwenyewe hapo Youtube kwenye sehemu imendikwa earn unaweka taarifa zote Muhimu zinazohitajika