Nahitaji Muuzaji wa Tshirt za Jezi Original

Nahitaji Muuzaji wa Tshirt za Jezi Original

ATM ya JF

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
16
Reaction score
73
Habari wana JF

Najitaji mtu anayeuza tshirt aina ya jezi ambazo ni original. Aniuzie kwa bei ya jumla, ama anielekeze duka linalouza kwa bei ya jumla.

Nakumbuka nikiwa Dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
 
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015
nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.

Original elfu 8 kwa reja reja?!
 
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015
nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.

jezi original za timu gani 8,000/-??
 
Teh teh teh
Jesi ya Zanzibar heroes original huipati kwa 8000 ukaipate ya ulaya
 
Back
Top Bottom