Nahitaji Mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advanced Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

Nahitaji Mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advanced Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,143
Habari ya jioni.

Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition.

  • Muda ni wiki mbili tu.
  • Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu.

Topics zifuatazo:

PHYSICS

1. Fluid Dynamics
2. Newtons
3. Circular motion

CHEMISTRY
1. Physical Chemistry (sub-topics kadhaa).

Ambae yupo interested areply hapa kwenye huu uzi.

MALIPO TUNAELEWANA. (Mwalimu anatakiwa amfuate mwanafunzi ambae yupo Ilala, kwa siku ni masaa 2 tu)
 
Nna degree ya nursing nilifaulu vizur physics chemistry na biology naishi BUGURUNi 0689052541
 
Nipo Kibaha Ila kwa somo la chemistry nitakusaidia nichek inbobo plz.
Siku za weekend lakini Sikh za kawaida Niko na wanafunzi wengine
 
Back
Top Bottom