K KADEBE Member Joined Jan 11, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Apr 22, 2015 #1 Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji mwalimu wa sekondari aliyepangiwa dodoma anayehitaji kuhamia biharamulo tubadilishane kituo cha kazi kwani mimi nahitaji kuhamia dodoma.tuwasiliane kwa 0762883206
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji mwalimu wa sekondari aliyepangiwa dodoma anayehitaji kuhamia biharamulo tubadilishane kituo cha kazi kwani mimi nahitaji kuhamia dodoma.tuwasiliane kwa 0762883206