Nahitaji mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi biharamulo-dodoma

Nahitaji mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi biharamulo-dodoma

KADEBE

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji mwalimu wa sekondari aliyepangiwa dodoma anayehitaji kuhamia biharamulo tubadilishane kituo cha kazi kwani mimi nahitaji kuhamia dodoma.tuwasiliane kwa 0762883206
 
Back
Top Bottom