double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 569
- 949
Upo sahihiš¤£š¤£Kila la heri, i
Ila humu JF wadada wanapenda Tall and Black.
Sisi wafupi hamtutaki, sijui kwa nini?Upo sahihi[emoji1787][emoji1787]
Tatizo wabishiiiiSisi wafupi hamtutaki, sijui kwa nini?
Hahaha, Sijui kwann watu wafupi wengi ni wabishi, na hii ni kwa wanaume na wanawake.Tatizo wabishiiii
Ni kwa wote hata wanawakeHahaha, Sijui kwann watu wafupi wengi ni wabishi, na hii ni kwa wanaume na wanawake.
Ubishi ni njia yao mojawapo ya kujitetea(defensive mechanism). Mara nyingi wahisi kwamba wanadharaulika.Hahaha, Sijui kwann watu wafupi wengi ni wabishi, na hii ni kwa wanaume na wanawake.
Wafupi mna gubu sana afu ving'ang'aniziSisi wafupi hamtutaki, sijui kwa nini?