Nahitaji mwanamke aliye na utayari kuwa mke halali wa ndoa

Nahitaji mwanamke aliye na utayari kuwa mke halali wa ndoa

double click

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
569
Reaction score
949
Sifa zangu

Naitwa - S
Umri -29
Makazi - Dar
Elimu - Degree
Kazi - Nimeajiriwa na pia nimejiajiri
Dini - Mkristo(RC)
Rangi - Mweupe mrefu

Sifa za ninayemuhitaji

  • Dini yoyote kikubwa upendo
  • Awe na umri kuanzia 20 had 29
  • Asiwe mnene
  • Awe msafi
  • Asiwe muongeaji sana

Kwa mawasiliano zaid PM.
 
Nianze tu diet nakosa mume hivi hivi [emoji17]
 
Aisee Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kijana nakukumbuka sana mzee wa over 1.5 Namba zako nilipoteza
 
Back
Top Bottom