Edgar Bisoo
Member
- May 19, 2021
- 28
- 51
Kama wewe ni muhusika basi husika na kichwa cha habari.
Mimi ni kijana wa miaka 36, na ni baba pia wa mtoto mmoja wa kiume. Nilikimbiwa na mwanamke baada ya kuyumba kiuchumi na mpaka sasa bado sijakaa sawa. Kama nitapata mwanamke ambae ataweza kunipenda nikiwa siko vzr kiuchumi hataacha kunipenda nitakapokua vizuri. Ninaposema kuwa siko vizuri kiuchumi namaanisha kwa sababu hata kuishi kwa sasa naishi kwa ndugu na ninafanya shughuli zenye kipato kidogo sana...........
Nahitaji mwanamke aliepevuka kimwili na akili na miaka yake isizidi 33.
N:B Hali yangu hainifanyi nishindwe kuwa na machaguo.