Nahitaji mwanamke atakayekuja kuwa mke

Nahitaji mwanamke atakayekuja kuwa mke

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Mimi ni kijana wa kiume, 27yrs mkazi wa DSM. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.

Mimi ni mkristo tena msabato,
Kabila langu ni muha kutoka Kigoma
Nimejiajiri

Ninauwezo wa kumudu majukumu ya kifamilia.
*Nimepanga najitambua nina kila kitu chandani sianzi maisha.

Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani.
kama unaswali uliza nitajibu
Asante na karibuni pm
 
Wapendwa poleni na majukumu bado nipo kwenye ombi langu la kutafuta mke.
Nina miaka 27 mkazi wa DSM ila sio mzaliwa wa dar. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.


Haijalishi uwe na kazi au usiwenayo au uwe na mtoto mimi nipo tayari kwa kila hali .
Nacho hitaji ni heshma ,upendo,huruma,
ninapokea maoni na ushauri. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani.
kama unaswali uliza nitajibu
Asante na karibuni pm
 
Wasije wakamuwahi @Miss Reneee wangu[emoji22]
 
Dar yote hii umekosa mwanamke mpka unekuja jf...hakika wewe ni mzembe sana.
hawa wa njiani waongo sana bora hata wa jf akija dm najua kweli anauhitaji wanjiani kila utakae mtongoza atakwambia yupo single.
 
Kuna mmoja "vituko mtandaoni " amechoka kuwa single! Huenda akiona tangazo atabisha hodi.
 
Na mimi natafuta, ila awe na shape karbu pm

au niandike uzi wang?
 
Back
Top Bottom