Nahitaji mwanamke atakayekuwa mke wangu

Nahitaji mwanamke atakayekuwa mke wangu

Joined
May 20, 2020
Posts
33
Reaction score
26
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.

Kiukweli nahitaji Mwanamke ambaye Mungu akijaalia awe mke wangu wa maisha.

SIFA ZANGU:

- Umri wangu ni miaka 33.

- Elimu yangu ni ya chuo kikuu.

- kazi yangu Mimi nimejiajili (mfanya biashara pia Nina kijikampuni changu kidogo)

- Kabila Baba ni Mmanyema na Mama ni Mpare.

- Nilipozaliwa na kukulia Ni Tabora Tanzania.

-Ninakoishi kwa sasa ni Dar es Salaam Tanzania.

- Dini yangu ni Muislamu

SIFA ZA NIMTAKAYE:

- Umri kuanzia 18 mpaka 40

- Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

- Kazi awe Mwanajeshi yani JWTZ, POLICE,MWALIMU SHULE YA MSINGI AU SECONDARY.

- Kabila ni lolote tuu.

- Alipo zaliwa na kukulia ni popote tuu.

- Sehemu anapoishi sasa ni Popote ila wa Dar es Salaam au Mkoa wa Pwani watapewa kipaombele zaidi.

- Dini awe yoyote ila awe mwenye hofu ya Mungu.

- Awe mrembo, mwenye Muonekano mzuri na tabia njema pia, mwenye uhitaji na kiu kubwa ya kuwa na Mume.

KWA YEYOTE ALIYE TAYARI NAOMBA UNI PM NITAKUJIBU NA HATA KAMA NIKICHELEWA AMINI NITAKUJIBU PIA TUKIRIDHIANA PICHA ZANGU,NAMBA ZA SIMU NA MAWASILIANO MENGINE NITAKUPATIA.

MUNGU AWABARIKI SANA.
IMG-20200519-WA0010.jpg
IMG-20200519-WA0051.jpg
IMG-20200519-WA0005.jpg
IMG-20200529-WA0015.jpg
IMG_20200531_162454_659.jpg
IMG-20200519-WA0055.jpg
IMG-20200519-WA0053.jpg
IMG-20200519-WA0054.jpg
 
Duuu kweli uko siriasi, umejiachia mwenyewe! Una kamzuzu kazuri....utapata tu humu
 
Back
Top Bottom