Nahitaji Mwanamke awe nyumba ndogo

Nahitaji Mwanamke awe nyumba ndogo

Watu kama nyie majanga huwaandama mno...
 
Inabidi useme atakae kubali nitamnunulia gari aina hii, nitamjengea nyumba aina hii, kila mwaka nitamgharamikia kwenda kutembelea ndani au nje ya nchi,account yake itakuwa haikauki miamala kutoka kwako,Wanaweza wakavutiwa zaidi na tangazo lako
 
Ili "umfanye" nyumba ndogo??!!--- hiyo ni laana.😏
Nieleweshe ndg nawaamini sana wana jf naamini sana nawaza yao huenda nimewakwaza wengi juu ya hili. Nisamehe sina dharau wala sijakusudia mabaya nahitaji mtu wa kuliwazana nae mwenye uelewa wa viwango vya humu. Naomba munishauri vizuri naweza ghairi wazo langu. .
 
Inabidi useme atakae kubali nitamnunulia gari aina hii, nitamjengea nyumba aina hii, kila mwaka nitamgharamikia kwenda kutembelea ndani au nje ya nchi,account yake itakuwa haikauki miamala kutoka kwako,Wanaweza wakavutiwa zaidi na tangazo lako
Hahahaah! Wa hivyo sintomuweza. Nahitaji dem nitayeweza kumsapoti kwa ndoto za kawaida. Sio kubwa ki hivo.
 
Sijafanya mchezo mbaya tangu mwaka jana kuna binti zimemruka hapa kijijini tunamuita Zuchu nashangaa namuona mzuri ghafla. So situation ya jamaa kama naielewa vile
 
Back
Top Bottom