Kwikazanyamadende
Member
- Nov 10, 2021
- 9
- 5
Heloo nipe link ya telegram ya wachumbaMkuu ingia telegram nikupe link
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heloo nipe link ya telegram ya wachumbaMkuu ingia telegram nikupe link
Hapa ban nikiwekaHeloo nipe link ya telegram ya wachumba
Aaaah Shunie huyo....., Mtoto mritoooMkuu unafeli wapi kuna pm si uwafate pm tu jamani ndio maaana Max aliweka pm
Nipo hapa mkuuAaaah Shunie huyo....., Mtoto mritooo
JF ina members wenye jinsia ya kike wawili tu
Kazi kwako
Yes,ni mimi na wewe tuNi mim na wewe tu wengine wote wanaume
Nope sjakutakia mabaya... labda ueleze kwanini umeamua hivyo alafu ndio nifafanue maoni yanguKwa nini ndg? Nishauri kwa njia mbadara usinitakie mabaya hivi. Huenda ushauri wako utaniokoa. Ungeniuliza kwa nini natafuta mwanamama mwingine wakati ninaye mwingine.
Very ugly 🥲🥲Yes,ni mimi na wewe tu
Bahati mbaya sisi tuliopo sio wazuri wazuri anaohitaji mleta mada 😆
Dini hairuhusu mke wa pili lakini inaruhusu mwanamke wa nje..[emoji849]Ushauri mzuri mkuu. Japo ntakuwa namdanganya maana dini yangu hairuhusu japo nmeipaki pembeni kwa muda.
Haya ofa hiyooo ya mbizinezmanDunia zunguka kwa kasi mwaka uishe kwa miezi miwili.😝😝😝😝😝
Nipe hiyo mistari ya dini nina kazi nayo.Dini hairuhusu mke wa pili lakini inaruhusu mwanamke wa nje..[emoji849]
Mistari ipi tena mkuu?Nipe hiyo mistari ya dini nina kazi nayo.
Inayokataza mke wa pili na kuruhusu mwanamke wa nje.Mistari ipi tena mkuu?