Nahitaji mwanamke black beauty

Mkuu Usije ukaandika uzi wa kutapeliwa/matatizo kama kutokuwa mwaminifu, mchafu, mvivu
Kwani huko kwenu ukizunguka zunguka utakosa hata mmoja
 
nikupe formula ya umri wa mwanamke wa kuoa. Ukitaka kuoa mwanamke chukua umri wako gawanya kwa mbili then jumlisha 7. Kwa mfano wewe una umri wa miaka 32 so unaetaka kumuoa anatakiwa awe na umri wa miaka ((32/2)+7)=23. THANK ME LATER.
100/2 = 50

50+7 = 57


[emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…