Akuone tu mama tule ubwabwa mwaka huu😅Unaowatafuta humu ndio hao hao uliopishana nao Leo katika mizunguko yako..
Nashauri zungusha shingo Tena huko mabarabarani[emoji1362]
Mfupi km Pierre liquid ,Sifa zako wewe zikoje mchumba, tufunge thread.
Weeeh utafutaji wa hivi,wa kutuma picha hapana kwa kweliAkuone tu mama tule ubwabwa mwaka huu[emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji36][emoji36]Mfupi km Pierre liquid ,
Anapendelea kuvaa pensi pana pana na sendo za dukani,
Kabila; Mluguru
Dini ;Muslim
Elimu ya secondary
Kazi; shughuli binafsi ila bado anasaka ajira,
Mshabiki wa Yanga
Chama;CCM kindakindaki
Niweke na picha ?
Mimi sifa zangu:Sifa zako wewe zikoje mchumba, tufunge thread.
Unaogopa kukutana na usichotegemea?😅😅Weeeh utafutaji wa hivi,wa kutuma picha hapana kwa kweli
Changamoto zipo... ni kwelikabisaa Zulu man with some powerUnaogopa kukutana na usichotegemea?[emoji28][emoji28]
Daaaah!!!! Yani kama vile umeumbwa kwa ajili yangu...naja pmMimi sifa zangu:
1.Mrefu wa futi 6.2 (Giant)
2.Mweusi
3.Mjasiliamali
4.Ninamaisha yangu najitegemea na kutegemewa
5.Miaka yangu 38
6.Mcha Mungu mkristo
7.Mwanamichezo
8.Ninaishi hapa Dar
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Changamoto zipo... ni kwelikabisaa Zulu man with some power
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
karibu tuyajenge...Daaaah!!!! Yani kama vile umeumbwa kwa akili yangu...naja pm
Daaaah sim ni yako bhana hatuweziii kukupangia matumiziiii tafuta kaka utampata tuuu.Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe tayari kucheki afya
NB;
=Nipo Dar Es Salaam
=Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji zitajibiwa haraka⁰
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wewe hawezi kukukataa kabisa yaani haweziWeeeh utafutaji wa hivi,wa kutuma picha hapana kwa kweli