Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

cemalema

Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
49
Reaction score
18
Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe tayari kucheki afya

NB;
=Nipo Dar Es Salaam
=Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji zitajibiwa haraka⁰
 
Katafute kwa kufuata taratibu acha ushamba. Utaingizwa mkenge ujutie bure. Kumbuka unatafuta mwenza siyo rafiki wa kalamu. Kaulize wazazi wako walifanyaje badala ya kushobokea uvivu na ujinga mwanangu.
 
Unaowatafuta humu ndio hao hao uliopishana nao Leo katika mizunguko yako..
Nashauri zungusha shingo Tena huko mabarabarani[emoji1362]
Akuone tu mama tule ubwabwa mwaka huu😅
 
Cheki mtaani hapo, mbona wapo kibao

Humu utauziwa mbuzi tu
 
Sifa zako wewe zikoje mchumba, tufunge thread.
Mfupi km Pierre liquid ,
Anapendelea kuvaa pensi pana pana na sendo za dukani,
Kabila; Mluguru
Dini ;Muslim
Elimu ya secondary
Kazi; shughuli binafsi ila bado anasaka ajira,
Mshabiki wa Yanga
Chama;CCM kindakindaki

Niweke na picha ?
 
Mfupi km Pierre liquid ,
Anapendelea kuvaa pensi pana pana na sendo za dukani,
Kabila; Mluguru
Dini ;Muslim
Elimu ya secondary
Kazi; shughuli binafsi ila bado anasaka ajira,
Mshabiki wa Yanga
Chama;CCM kindakindaki

Niweke na picha ?
[emoji16][emoji16][emoji36][emoji36]
 
Mimi sifa zangu:

1.Mrefu wa futi 6.2 (Giant)
2.Mweusi
3.Mjasiliamali
4.Ninamaisha yangu najitegemea na kutegemewa
5.Miaka yangu 38
6.Mcha Mungu mkristo
7.Mwanamichezo
8.Ninaishi hapa Dar

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Daaaah!!!! Yani kama vile umeumbwa kwa ajili yangu...naja pm
 
Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe tayari kucheki afya

NB;
=Nipo Dar Es Salaam
=Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji zitajibiwa haraka⁰


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Daaaah sim ni yako bhana hatuweziii kukupangia matumiziiii tafuta kaka utampata tuuu.
 
Back
Top Bottom