Maybe it's true. Age can make someone wise, so does problems.Asante kama ujumbe umekuingia akilini
Nisije jisifu bure,kuhusu kuwa muelewa No comment, nisije jisifu bure ila nahisi na umri unachangia mkuu.
Tunajifunza kutokana na mazingira,maisha some time yanafanya uwe na akili mingi mingi utake usitake
Mkuu una jinsia 2,umebadili jinsia???Habari zenu :
Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo maelewano kila jambo linaenda kama lilivo pangwa: naomba aje pm kwa wenye hitaji kama langu tu:
Asanteni:
Ni hawa hawa. Ila kule unapata nafasi ya kuwaona kwanza then ndio unatuma maombi, ila huku jamaa ameanza kutuma maombi then ndio atawaona.
ha ha haKama maisha umeshindwa kupanga mwnyw mwanamke ndio atawezaje kukusaidia sasa?!
Watu mnafatilia sana.AiseeeeMkuu una jinsia 2,umebadili jinsia???
Au unamtafutia kaka yako mdada wa kuanza naye maisha
Lile tatizo lako lilipona lililo kuanza wakati upo chuo kabla haujaolewa???!!!!
Mleta ombi nazani amesahau usemi usemao ukiwa muongo,uwe na kumbukumbu.Watu mnafatilia sana.Aiseeee
Mleta ombi nazani amesahau usemi usemao ukiwa muongo,uwe na kumbukumbu.
HahahaaHaaaaaa haaaaaa naona umeamua kumshupalia au kakimbia
Msamehe bure.
Hahahaa
Kakimbia Uzi wake na yupo online
Tumembamba
Pengine ameshapata alicho kuwa anakitaka.
Hahaha mkuu kasahau etiHahaha labda mleta mada aliolewa kabla makonda hajatoa tangazo, sasa anaogopa kuingia kwenye orodha ya makonda kaona atafute mke na yeye. Asiporudi kukanusha nitamwita dudu baya mzee konki konki konki
Hahaha labda mleta mada aliolewa kabla makonda hajatoa tangazo, sasa anaogopa kuingia kwenye orodha ya makonda kaona atafute mke na yeye. Asiporudi kukanusha nitamwita dudu baya mzee konki konki konki
Nimeupata mkuuHahaha mkuu kasahau eti
Kama unaweza kuuleta ule Uzi tuletee mkuu auone.
We si ulisema umeolewa na kila ukimaliza kugegedwa au kulalwa na mme wako huwa unaumwa tumbo. Jikumbushe hapaSipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi
Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu
Sipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi
Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu