Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

Asante kama ujumbe umekuingia akilini
Nisije jisifu bure,kuhusu kuwa muelewa No comment, nisije jisifu bure ila nahisi na umri unachangia mkuu.

Tunajifunza kutokana na mazingira,maisha some time yanafanya uwe na akili mingi mingi utake usitake
Maybe it's true. Age can make someone wise, so does problems.
 
Note: uzi huu sio special kwa mabinti nyinyi mnabidi mnifate PM tujadili hili swala
 
Habari zenu :

Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo maelewano kila jambo linaenda kama lilivo pangwa: naomba aje pm kwa wenye hitaji kama langu tu:

Asanteni:
Mkuu una jinsia 2,umebadili jinsia???

Au unamtafutia kaka yako mdada wa kuanza naye maisha

Lile tatizo lako lilipona lililo kuanza wakati upo chuo kabla haujaolewa???!!!!
 
Mkuu una jinsia 2,umebadili jinsia???

Au unamtafutia kaka yako mdada wa kuanza naye maisha

Lile tatizo lako lilipona lililo kuanza wakati upo chuo kabla haujaolewa???!!!!
Watu mnafatilia sana.Aiseeee
 
Mara aliolewa Mara anatafuta mke.Ngoja arudi pengine anamtafutia ndugu yake but angeweka wazi.Hii inatia shaka sana Na kumshushia Credibility yake.
@Delvis njoo utujibu huku tunakuona upo online mkuu

Hebu tufafanunulie hapo,tuondoe utata.

Delvis
 
Haaaaaa haaaaaa naona umeamua kumshupalia au kakimbia
Msamehe bure.
Hahahaa
Kakimbia Uzi wake na yupo online

Tumembamba
Pengine ameshapata alicho kuwa anakitaka.
 
Mkuu una jinsia 2,umebadili jinsia???

Au unamtafutia kaka yako mdada wa kuanza naye maisha

Lile tatizo lako lilipona lililo kuanza wakati upo chuo kabla haujaolewa???!!!!

Tatizo gan nilikuwa ndg
 
Hahaha labda mleta mada aliolewa kabla makonda hajatoa tangazo, sasa anaogopa kuingia kwenye orodha ya makonda kaona atafute mke na yeye. Asiporudi kukanusha nitamwita dudu baya mzee konki konki konki
Hahahaa
Kakimbia Uzi wake na yupo online

Tumembamba
Pengine ameshapata alicho kuwa anakitaka.
 
Hahaha labda mleta mada aliolewa kabla makonda hajatoa tangazo, sasa anaogopa kuingia kwenye orodha ya makonda kaona atafute mke na yeye. Asiporudi kukanusha nitamwita dudu baya mzee konki konki konki
Hahaha mkuu kasahau eti
Kama unaweza kuuleta ule Uzi tuletee mkuu auone.
 
Hahaha labda mleta mada aliolewa kabla makonda hajatoa tangazo, sasa anaogopa kuingia kwenye orodha ya makonda kaona atafute mke na yeye. Asiporudi kukanusha nitamwita dudu baya mzee konki konki konki

Sipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi

Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu
 
Tatizo gan nilikuwa ndg
IMG_20181102_093733_569.JPG
IMG_20181102_093721_658.JPG
 
Sipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi

Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu
We si ulisema umeolewa na kila ukimaliza kugegedwa au kulalwa na mme wako huwa unaumwa tumbo. Jikumbushe hapa
Tumbo langu linaniuma baada ya tendo la ndoa - JamiiForums
 
Sipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi

Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu

Mm ni mtu smart

Na nipo na position yangu ya kuheshimikana kujiheshimu pia
 
Back
Top Bottom