Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

Sipendi na udhalilishaji usio maana
Tusichafuane pasipo sababu za msingi

Cjawahi kuandika huu ujinga na kama mods pia wanaleta mambo ya kipumbavu kuweka mambo yao kwa mtu ‘ wanifungie na wanitoe kabisa hapa jf sipendi kujana kipumbavu
Hahahahahaaaa

pokrei

Pitia huku my sis,kumenoga.
 
Mm ni mtu smart

Na nipo na position yangu ya kuheshimikana kujiheshimu pia
@Gentamycin

Nakumbuka ulikuwa mtu wa kwanza kumshauri 2014
Dada Delvis,alipokuwa na tatizo la kupata maumivu,wakati wa tendon

Kwa heshima na taadhima mkuu,naomba uje mahali hapa,maana muhusika anapinga vikali hajawahi weka Uzi wa aina hiyo

Kwa sasa yeye ni kaka Delvis,sio Dada tena.
 
Bado wapo wanawake wenye akili zilizotulia kumbe
 
I really would like to see how you draft your emails, and may be your proffession as well.
 
Me nlikuwa nahisi mnaanza kukaa chini na kupanga pamoja. Ila kiukweli financials ndio mpango mzima
[emoji3] [emoji3] , kabla ya kukaa chini inabidi ujue je pesa ipo , maana ndyo mtajadili vizuri na mkafikia muafaka( joke bana)[emoji3]
 
Sorry My lady I need to talk to only interested ladies with my post... na si wale wenye mawazo yao yanaangalia pesa yangu
Ila sasa km nikiwa sina pesa, afu nisiangalie km mwanaume ana pesa au lah mwisho wa siku naenda kukutana na wimbo wa sina ela kila siku nan anataka hayo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…