Nahitaji mwanamke / mdada: ili nipange nae maisha-SIO BINTI.

Yieen

Senior Member
Joined
May 8, 2012
Posts
103
Reaction score
27
Habari zenu :

Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo maelewano kila jambo linaenda kama lilivo pangwa: naomba aje pm kwa wenye hitaji kama langu tu:

Asanteni:
 
Watakuja wapo wengi usawa wa magu watu hawataki majukumu,hongera mkuu kwa kutaka kulivaa bomu
Habari zenu :

Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo maelewano kila jambo linaenda kama lilivo pangwa: naomba aje pm kwa wenye hitaji kama langu tu:

Asanteni:

Sent from my INFINIX using JamiiForums mobile app
 
Kama maisha umeshindwa kupanga mwnyw mwanamke ndio atawezaje kukusaidia sasa?!
 
Habari zenu :

Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo maelewano kila jambo linaenda kama lilivo pangwa: naomba aje pm kwa wenye hitaji kama langu tu:

Asanteni:
Wanakuja wanaojitambua mkuu,usisahau kutuletea mrejesho.
 
Hivi ni kweli mnaotafutaga wenzi mitandaoni mnakuwaga busy kiasi kwamba hampati muda wa kuonana na watu walau mchague huko?
 
Waliopo humu,na mtaani ni sawa huwezi jua bahati yake ipo wapi

Hata wa humu kazima wata meet tu
 
Face to face meeting ni nzuri, unajua wapi utupie madini wapi ukaushe. Sasa hapa utapewa namba then ndio mtafutane kujua kama she fits your criteria.
 
Wa mtaani si ndio hawa hawa wanao comment JF? Ama sijaelewa?
Ni hawa hawa. Ila kule unapata nafasi ya kuwaona kwanza then ndio unatuma maombi, ila huku jamaa ameanza kutuma maombi then ndio atawaona.
 
Face to face meeting ni nzuri, unajua wapi utupie madini wapi ukaushe. Sasa hapa utapewa namba then ndio mtafutane kujua kama she fits your criteria.
hapo sasa ndo penyewe
Ukikuta ulichotegemea sicho,ndo mwanzo wa kutumiana na kuachana,ila lazima utakuwa umemuona bhana,akikutumia picha WhatsApp na kukueleza jinsi alivyo,taswira lazima ije.

Cha msingi ukimeet ukiona hakidhi vigezo,ukirudi home unamtumia sms ndefuuu

U know what Dinnah wewe ni msichana mzuri sana,una vigezo vingi ambavyo mwanaume anahitaji,ila D Mimi naomba niwe muwazi kwako,wewe si aina ya mwanamke ninayemuhitaji

Ipo siku utampata aliye bora kwako,nitabaki kama rafiki wa karibu kwako bye.

Simple tu kuliko umtumie wakati si chaguo lako,kukaa na mtu usiyempenda kutoka moyoni kazi,na yataka moyo

Lazima mwisho wa siku uvumilivu ukushinde

NB,Usiachane na mtu kwa ugomvi,na kuwekeana visasi,kutukanana n.k.
 
Ujumbe wako umenikosha kwa namna fulani, unaonekana ni muelewa sana D.
 
Asante kama ujumbe umekuingia akilini
Nisije jisifu bure,kuhusu kuwa muelewa No comment, nisije jisifu bure ila nahisi na umri unachangia mkuu.

Tunajifunza kutokana na mazingira,maisha some time yanafanya uwe na akili mingi mingi utake usitake
 
Back
Top Bottom