Nahitaji mwanamke mwenye malengo

Nahitaji mwanamke mwenye malengo

same name

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
14
Reaction score
3
Nina miaka 29, elimu yangu degree ni muajiriwa wa taasisi flani nahitaji mwanamke wa kuoa vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne atleast awe mwenye matokeo mazuri ili iwe rahisi kumuendeleza, sichagui dini kama tutatofautiana dini na kama hatakua tayari kubadili tutafunga ndoa ya kiserikali, umri kuanzia miaka 27-32 ninaamini umri huo atakua amekomaa kiakili, asiwe amewahi kuolewa wala kuzaa, sichagui sura wala umbo nazingatia mwenye tabia njema.

Aliyetayari njoo PM nitakujibu fasta.
 
Subiria tuzeeeke zeeke kwanza...ila uwe unawabania na mim naendelea kubana huku... then tukichoka naliweka kwa I'd hiihii
Hahah
Sawa mi naendelea kubana huku
Ila sasa tusizeeke sana alafu mi nitakuPM kwa ile ID yangu nyingine
Nakusubiri
 
Hapo kwenye kumuendeleza angalia usije kujikuta unatengeneza Bomu la machozi kwa mikono yako
 
kazi ushaianza na umetia mbegu kazi kwako kupalilia
safari njema
 
Hapo kwenye kumuendeleza angalia usije kujikuta unatengeneza Bomu la machozi kwa mikono yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amesahau kuwa "mchumba au mke hasomeshiwii............" ila msinukuu vibaya co maneno yangu, najua upande flan unaweza sema nauharibia
 
Back
Top Bottom