Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Badilisha heading
 
Yaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Sasa ujui kuna tunaotumia freebasic? Na inakubari kwenye smartphone na sim za batani?
 
Mimi natafuta mwanamke wa kumliwaza kimwili ila tudigandane
 
Mkuu nikupe siri moja kubwa sana:
Usijidanganye kuoa mwanamke maskini sana asilimia kubwa hao ndo huongoza kwa ushirikina, limbwata, hata usariti maana wengi wao huamini kwamba akipata mwenye pesa atampunguzia matatizo


Umenena vyema.

Mwanaume asomaye na afahamu hilo.

[emoji1666][emoji1666]
 
Vipi ushapata Ila napata guts sna wew sio maskini kama unavotuaminisha

Unachotaka mwanamke mweny mapenzi ya dhati.
 
Sijui ni lini Nuts and Uncivilized People kama Wewe ( Nyie ) mtapungua kama siyo Kupukutika kabisa Tanzania au Duniani kabisa..
Usijali wakati wa Mungu ukifika ntapukutika dunian utabaki wewe na civilized wenzio
 
Tatizo dini tu....😔😔
 
Masikini hawezi kumiliki Smartphone wala kununua bando
Hajasema yeye umaskini wake ni wa level gani. Naomba msijalibu kutungia sentence takwa la msingi la moyo wake. Nachojua mie ndege wafananao huruka kwa pamoja.
Hata mie bado natafuta mke wa kiwango hicho cha maisha.
 
you didn't take my comment in positively manner,I should have skipped this thread but..... you are my brother in Islam and luckily enough we are facing the same shit and at least you got a balls to come out and speak your agonies..
Kaweka wazi ya kuwa yeye ni mkristo wa katoriki na sio mwislam usemavyo wewe. Soma Tena uzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…