Nahitaji mwanamke wa "kuanzisha" nae mahusiano

Nahitaji mwanamke wa "kuanzisha" nae mahusiano

Huna akili timamu gani kichwa chako ki!mekosa maneno mazuri unaongea upuuzi kama huo, huna akili kabisa ,nani alikwambia huko ulipotaja ndo kuna wanawake wa kuoa au unataka nikuoe wewe njoo basi PM naona una wivu sana

Akili umekunya zote !!!
Dogo mbona povu linakutoka hivi...kama huwezi kuvumilia maneno tu ya mtandaoni bila kununua Foma gold,huyo mwanamke unayemtaka utamuweza??
 
Dogo mbona povu linakutoka hivi...kama huwezi kuvumilia maneno tu ya mtandaoni bila kununua Foma gold,huyo mwanamke unayemtaka utamuweza??
Hahahaha Niko sawa sana na mm nilitaka kuona kama huyo jamaa nayeye anauwezo kwa kuhimili na kuheshimu yasiyomhusu aisee !

Nishaachana na hayo mkuu!!
 
W
Hujui ata kuandika vizuri...sasa sijui mwanamke gani atakukubali wewe

kam hawapatikani uko nilikotaja, nani alikuambia anapatikana kwa bando la internet na bandiko lisiloeleweka??

Unaakili ya sokoni ww!!!empty head kabisa
We jamaa acha kuwaonea wanawake wivu hili bandiko linawahusu wao sio wanaume
 
W

We jamaa acha kuwaonea wanawake wivu hili bandiko linawahusu wao sio wanaume
Umenisaidia sana mkuu, anataka niongee sana wanawake wanione sina busara ,huyu jamaa sio MTU mzr kabisa
 
Kugegeda ni muhimu bcoz Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanamke bila mgegedo. Km huamin nisemacho basi nenda kaanzishe urafiki na mke /mme wa mtu then rudi jf uniambie. Ukisubiri kugegeda ndani ya ndoa za kikristu wawezajikuta ziwani na kibamia chako
 
Back
Top Bottom