MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Wadogo zangu, marahaba...
Naomba niongee na wakubwa zangu.
Kwanza ningependa kutanguliza shukuran zangu za dhati kwa Mwenyezi MUNGU, hakika wewe ni muweza wa yote. [emoji120][emoji120]
Kama title inavojieleza apo juu, mimi ni kijana mtanzania mwenye umri kati ya miaka 20-30, mwanafunzi wa chuo kikuu. [Maelezo mengine zaidi ya haya yanapatikana pm] nilikua naomba kwa unyenyekevu uliotukuka mwanamke yeyote mwenye hadhi ya kuitwa mama ajitokeze niweze kumuita mama maana binafsi sjawahi kupata hiyo nafasi kwan mama alifariki ningali bdo ndo nina miezi mitatu[emoji35] kiukweli namimi ningependa kuwa na mama japo sio wa kunizaa awe mama yangu, naahidi kuwa mtiifu na muadilifu kama mwanae wa kumzaa[emoji120]
Nina mengi ya kuandika ila mimi sio mwandishi mzuri, [pm].
Nyie watu wenye wazazi wote wapo hai au mzazi mmoja, nawashauri waheshimuni sana na muwe watiifu na wenye uadilifu kwao huku mkiwaombea masiha marefu sana.
"You cant appreciate something until you lose it"
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]