Nahitaji mwanamke wa kumuita mama

Ungebadili kwanza jina lako linatia kinyaa na ukakasi,
Jiweke kitoto ili hata huyo mama akija ajione analea sio analelewa.
Kila jina nililokuwa najisajli nalo nililokuwa nalipenda naambiwa tyr lina exist, sa mi ni nan mpk nibishane na moderators[emoji3]
 
Yaani Iblis amekaa mahali anachekelea sana uzi huu.

Anajua bila shaka hapo pa 25-30 hachomoki mtu.

Samsing wil kam ap😁😁😁🤭🤭🤭🤭
 
Kila kitu kiwe kibaya au kizuri huanzia rohoni
Huyu kijana hakushindwa kuingia hapa na kuatafuta hao unaowasema
Halafuu wewe Chalii sijui kwanini unakuaga mtukutu hivi😅😅😅
Hahaha mimi sio mtukutu ila nina liberal thoughts. Hivi angekuja hapa aseme anataka sugar mumy ungemjibu kuwa aje PM?

Tuwaze kidogo.
 
Tena hasa ukisoma topic yake ya kwanza kabla hii ndio utaelewa huyo mtoto atafutaye mwanamke mtu mzima wa kumuita mama ni wa aina gani,

Marioo wana mbinu nyie acheni tu.
Una uhuru wa kikatiba wa kutoa maoni naona unautumia vzr. Yan hii jf ina kila aina ya watu[emoji3][emoji119][emoji119] em nambie ume notice nn kwenye ule uzi nikuelekeze vzr uelewe maana jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza[emoji120]
 
Thank you madame Dream Queen
Ningeongea kitu ila ingekua na mm nina dalili za kimarioo [emoji28][emoji28]
Sina cha kukujibu ila sina intention ya kutafuta sugar mamy humu jf na wala siwez tafta mwenza mtandaoni while hawa wa mtanadaoni ndo hawa hawa tunaokaa nao huku mtaani[emoji120]
 
Yaani Iblis amekaa mahali anachekelea sana uzi huu.

Anajua bila shaka hapo pa 25-30 hachomoki mtu.

Samsing wil kam ap[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Daah, mawazo ya swaiba wa shetani haya[emoji3][emoji3]
 
Sina cha kukujibu ila sina intention ya kutafuta sugar mamy humu jf na wala siwez tafta mwenza mtandaoni while hawa wa mtanadaoni ndo hawa hawa tunaokaa nao huku mtaani[emoji120]
Lakini wamama wa mtandaoni ni tofauti na wa mtaani,

Makubwa hayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…