lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 797
mwanamke awe na kazi?kwahyo kuwa na kazi ishakuwa kigezo cha kuwa mke bora?mwanaume acha uoga wa maisha kutunza family ni jukumu lako huna uwezo mkubwa kuweni na watoto utakao wamudu hata mwanamke akiwa na kazi ww kama baba jukumu lako liko palepale lazima utoe hela ya kula na kulipa ada kwahyo mke akiwa na kazi unataka akusaidie kulipa na ada ya watoto siku nyingine atoe hela ya kula.