hebu tuingie katika maombi baba mchungaji sasa hivi! ninaona kuna mtu anaenda kupata mwenza hapa! naona roho ya kukataliwa roho ya upweke inatupwa kuzimu muda huuu hebu tuendelee kuomba ninaonaHeri yako wewe mpendwa.Anza maombi sasa utafurahia sana maisha ktk Bwana.
baba mchungaji ! kazi za mama mchungaji ni zipi? ili nione kama nitaweza
hebu tuingie katika maombi baba mchungaji sasa hivi! ninaona kuna mtu anaenda kupata mwenza hapa! naona roho ya kukataliwa roho ya upweke inatupwa kuzimu muda huuu hebu tuendelee kuomba ninaona
Mi si muhuni,kama unatafuta wachungaji wahuni nenda Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha utakutana na fake pastors.Naomba uheshimu mawazo yangu,mimi natafuta mama mchungaji.
Wewe charminglady
mpuuzi wewe, kama mchungaji kweli si ugneomba roho wa mungu akuonyeshe mke. acha uhuni wa kidijitali, kawadanganye washenz wengne na sio wa GT hapa
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa nimeona bora nimtumikie Mungu,Sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha Mungu na akubali kuja kutumika huku Shinyanga kama mama Mchungaji.Dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye PM yangu.