Nahitaji mwanamke wa kuoa.

Nahitaji mwanamke wa kuoa.

Heri yako wewe mpendwa.Anza maombi sasa utafurahia sana maisha ktk Bwana.
hebu tuingie katika maombi baba mchungaji sasa hivi! ninaona kuna mtu anaenda kupata mwenza hapa! naona roho ya kukataliwa roho ya upweke inatupwa kuzimu muda huuu hebu tuendelee kuomba ninaona
 
baba mchungaji ! kazi za mama mchungaji ni zipi? ili nione kama nitaweza

Kuhakikisha akina mama anawaongoza katika njia sahihi katika Bwana na kuwatia akili wanawake vijana.Ni mlinzi wa baba mch,kuhakikisha huvurugi kanisa make washirika ndio mtaji/waajiri.
 
unatuzuga kama mchungaji kumbe ni muhuni kama wahuni wengine

Mi si muhuni,kama unatafuta wachungaji wahuni nenda Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha utakutana na fake pastors.Naomba uheshimu mawazo yangu,mimi natafuta mama mchungaji.
 
hebu tuingie katika maombi baba mchungaji sasa hivi! ninaona kuna mtu anaenda kupata mwenza hapa! naona roho ya kukataliwa roho ya upweke inatupwa kuzimu muda huuu hebu tuendelee kuomba ninaona

Hayo ni maombi ya fake pastors na manabii fake wanaowageza wanawake source of income.Iam real one mwenye wito halisi.
 
Mi si muhuni,kama unatafuta wachungaji wahuni nenda Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha utakutana na fake pastors.Naomba uheshimu mawazo yangu,mimi natafuta mama mchungaji.

mpuuzi wewe, kama mchungaji kweli si ugneomba roho wa mungu akuonyeshe mke. acha uhuni wa kidijitali, kawadanganye washenz wengne na sio wa GT hapa
 
mbona nahisi kama limoyo langu limekudondokea?
 
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa nimeona bora nimtumikie Mungu,Sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha Mungu na akubali kuja kutumika huku Shinyanga kama mama Mchungaji.Dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye PM yangu.

Ngoja waje!
 
Back
Top Bottom