RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET
Member
- Mar 26, 2018
- 72
- 59
Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural.
ANGALIZO
Wanawake wanaotumia mikorogo hawajawahi kuwa rafiki mbele ya macho Yangu.
Kwa mwanamke aliye tayari anicheki DM,tubadilishane mawili matatu,kama kutakuwa na chemistry Kati yetu, Gari litakuwa limewaka.
Karibuni sana.