RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET
Member
- Mar 26, 2018
- 72
- 59
Kila la kheri mkuuMimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural.
ANGALIZO
Wanawake wanaotumia mikorogo hawajawahi kuwa rafiki mbele ya macho Yangu.
Kwa mwanamke aliye tayari anicheki DM,tubadilishane mawili matatu,kama kutakuwa na chemistry Kati yetu, Gari litakuwa limewaka.
Karibuni sana.
AhsanteKila la kheri mkuu
I like you alread
Wabongo mko so negative,ni vema kama Uzi haukuhusu upite kimya maana hujui nn kilicho Ndani ya mtu.Hili jina kama la tapeli fulani
Wabongo mko so negative,ni vema kama Uzi haukuhusu upite kimya maana hujui nn kilicho Ndani ya mtu.
Hope everyone aliyeoko hapa ni above 18+,anaweza akafanya convo na mm,if possible tukakutana,kama tumeelewana,tunapeana grace period kuona kama things will work out or not.
If yes we will move to another stage,if not we will end where we're bila kuwa maadui.
I don't know if your me/ke,but nakushauri kumabbuse husiyemjua au kumtolea abusive kauli husiyemjua.
Nothing more,nothing less.
Okay mkuu,Grammer error hizoNdugu Injinia naona herufi "U" na "H" zinakuletea shida.
Husiyemjua[emoji777]
Usiyemjua[emoji736]
Engineer atakwambia hakusoma English wala Kiswahili.Ndugu Injinia naona herufi "U" na "H" zinakuletea shida.
Husiyemjua[emoji777]
Usiyemjua[emoji736]