- Thread starter
- #21
Usikose njoo hukuKwanini sumbawanga lakini,, muhimu tu nikose mume
Usikose njoo hukuKwanini sumbawanga lakini,, muhimu tu nikose mume
Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
Kila la kheri 😝Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
Yako good,tunashukuru Sir GodMambo yanaendaje
Jambo jema sana mkuuYako good,tunashukuru Sir God
Sumbawanga sijawahi hata kufikaUsikose njoo huku
fanya window shopping hapa Bruges ikke, hapa JF huwezi pata, hasa kama unatoka SUMBAWANGERMimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
nimemwelewa ilo neno fala la kawaida, anamanisha uje mjiniWhy uniite fala?