neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 369
- 351
Yaani hasemi hata kama ana nyumba, gari, na ni mwajiriwa wa serekalini au amejiajiri?Kirahisi tu wanawake wa JF uwapate.
Ok anyway Kazi njema
Hapo sasa ngoja arudi labda ataje sija upyaYaani hasemi hata kama ana nyumba, gari, na ni mwajiriwa wa serekalini au amejiajiri?
kwani ticha we unataka mwenye vitu gani?Yaani hasemi hata kama ana nyumba, gari, na ni mwajiriwa wa serekalini au amejiajiri?
Kama wanawake ni magari basi hiyo avatar yako ni LEXUS LX 570Wanawake mnaitwa huku
Mimi si nimeshaolewa jamani wewe mwanafunzi mtukutu.kwani ticha we unataka mwenye vitu gani?
Naitwa John nahitaji mwanamke mtu mzima anayejielewa.
Aliye tayari anitafute kwa Whatsapp : +254781847643. Tutaongea mengi hapo.
Mkuu huyo mwanamke mtu mzima una shughuli nae gani?Naitwa John nahitaji mwanamke mtu mzima anayejielewa.
Aliye tayari anitafute kwa Whatsapp : +254781847643. Tutaongea mengi hapo.
[emoji102]Wanawake mnaitwa huku