Baba yake mzazi yuko wapi?Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Hongera kwa busara kubwa uliyojaaliwa.Nafikiri umewaza vema.Tutakuja pm kwa dhamira ya kuijenga Tanzania yenye ustawi mzuri wa familia.Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Ana mtoto tayari anataka uwe baba wa huyo mtoto![emoji30][emoji30][emoji30]Unataka akuoe au akupe mimba na mtoto ukae naye!!?
Kuna watu wengine baba zao wangesema wasioe single mother na wenyewe wasingepatikana