Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Ikohumo

Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
6
Reaction score
15
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
 
Dah! Huyo baba baada ya mtoto kupatikana mahusiano kati yake na mama wa mtoto yatakuwaje? Ongezea nyama ueleweke kama unatafuta mume pia uwe wazi
 
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Baba yake mzazi yuko wapi?
 
Hongera kwa busara kubwa uliyojaaliwa.Nafikiri umewaza vema.Tutakuja pm kwa dhamira ya kuijenga Tanzania yenye ustawi mzuri wa familia.
 
Hujasema baba yake halisi yupo wapi halafu mtu akiamua kumlea mwanao sio lazima mpk abadili na jina unakuwa unamnyima mtoto wako haki zake.

Ni muhimu mtoto ajue mzazi wake halisi especially kama yupo hai. Wanawake sijui mnakuwa na roho gani wakati mwingine
 
Kuna watu wengine baba zao wangesema wasioe single mother na wenyewe wasingepatikana

Kupatikana ni "conscious" decision ya muhusika!

Kuja duniani tumetokea tu bila ridhaa zetu,tumejikuta tu...

Waliotuleta ndio decision making ability zao ndio ziko very questionable!

Wenyewe ndio wanatakiwa wafanye maamuzi sahihi kabisa maana mtoto ni outcome tu!

Unachokisema wewe,hao wote ni outcome ya maamuzi mabovu ya wazazi wao......

Ila hizo outcomes zenyewe kama zenyewe ziko poa tu na survival instincts kicks in and they survive!
 
Back
Top Bottom